Monday, June 25, 2012

shajara 25.06


Bahari ya Hindi kutoka Beit al Ajaid 

Leo asubuhi, sisi tulijifunza architecture ya Zanzibar katika darasa wa profesa Blier.  Nyumba za Stone Town wanalijenga wa mawe. Baadaye, wanalikuenda Beit al Aljaid, nyumba za Sultan Bargash. Nyumba hii ni kubwa, na mrefu sana.  Nilijenga karibu bahari na bandari. Sisi tulitembelea "Portuguese Fort" pia. 

No comments:

Post a Comment