Sunday, June 24, 2012

shajara 24.06


Leo, nilisoma kila siku. Madarasa yetu wanahitaji kusoma sana, lakini ni nzuri sana na ninapenda.  Wakati huo huo, ninahitaji kukuta kazi kwa sababu nitamaliza chuo kikuu lini ninarudi Marekani. Sijui ninataka kazi wapi, na sijui ninataka kufanya nini.  Hili ni shaka, kweli. Lakini, niliona kazi katika chuo kikuu cha KAUST.  Rafiki yangu, alikufanya kazi katika chuo kikuu hiki, na aliniambia ni nafasi nzuri. Nitapeleka resume yangu juma hili. 

No comments:

Post a Comment