Jana, wanafunzi wa State University of Zanzibar walikuja kwa darasa wa kiswahili. Tulisafair ya sokoni baada ya darasa. Tuliangalia vitu mbalimbali. Watunda--tikiti, machungua, mapapai, na embe, na nanasi. Nilijufunza ndzidi mbivu za pukusa, hizi ni kukula, na ndizi mbivu na mbichi, hizi ni kupika.
Tuliangalia samaki wengi changu, macombe, mzia, yodari, na hono. Fatima alionyesha mchicha na mboga nyingine. Ningependa kununua mboga kupika katika Rumaisa juma hili.
No comments:
Post a Comment